`
AGAPE SINGERS

Featured Posts

Friday 13 March 2015

AGAPE NDANI YA TAMASHA

JESHI LA ANGA LIKIONGOZWA NA KAMANDA PHOEBE
PIA
JESHI LA NCHI KAVU CHINI YA BARCHAMAN BARAKA

Phoebe na Rebeccah waki-check in Mwanza Airpot


Wana wa nchi kavu: Kamanda Senah, Mayunga na Mayala
Kamanda Happy na Kinda wake naye hakubaki nyuma.

TAMASHA TAMASHA TAMASHA

AGAPE GOSPEL SINGERS ndani ya Tamasha la Muziki wa Injili.
"FESTIVAL OF LOVE AND HOPE HOME COMING AFRICA"

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Ndg Fredy


Nyakwesi ndani ya JKNI Airpot
Mama Jeje naye ndani ya nyumba
Kamanda wa Jeshi la Anga Mama Mkama

Monday 2 March 2015

Kongamano a Muziki Dar es Salaam

Wapendwa wetu wote tunapenda kuwataalifu kuwa tutakuwa kwenye kongamano la muziki Jiji Dara es Salaam hivyo tuombeane kazi ya Bwana Ifanyike vizuri na kuwe na mafanikio makubwa watu wamtukuze Mungu wa mbinguni. Pia tunahitaji support yenu ya Hali na Mali na Maombi Mengi.

Mkama D Lugina
Mkurugenzi Mtendaji
AGAPE GOSPER SINGERS
MUSOMA

 

Wednesday 8 October 2014

Tunapenda kutoa shukurani za dhati kwa ndugu na marafiki waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha AGAPE tunapata vyombo vya muziki vya kuanzia, Mungu awabariki. lakini pia tunawashukuru Kanisa la Nyarusurya kutualika kwenye changizo kiasi kilichopatikana kitasaidia pia katika kununua vyombo kwa ajili ya kazi ya Mungu. Mbarikiwe wote na tuombeane katika mapambano ya kwenda Mbinguni.

Toka kwa Mkurugenzi Mtendaji AGAPE
Mkama D Lugina

Friday 19 September 2014

Mapambano bado yanaendelea katika kutafuta Vifaa vya muziki tayari Bwana amefanya miujiza tuna speaker 1 bado 3 tunayo power mixer 1 bado amplifer na pia bado microphone tunaomba wadau mtutie nguvu ili tuweze kushinda

watu wa Mungu Mapambano bado yanaendelea katika kufanya kazi ya Bwana. kumbuka ni bora kumshukuru Mungu kwa wema wake aliotutendea kwa kutoa tulivyonavyo ili kazi yake isonge mbele. hivyo unakumbushwa kutobaki nyuma kwa kutoa chochote ulichonacho ili kazi hii iweze kukamilika.

Wednesday 30 July 2014

Safari ya mbinguni in lazima kukaza Moyo na macho yamtazame yesu tu w peke yake sio mwingine