AGAPE SINGERS

Wednesday 8 October 2014

Tunapenda kutoa shukurani za dhati kwa ndugu na marafiki waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha AGAPE tunapata vyombo vya muziki vya kuanzia, Mungu awabariki. lakini pia tunawashukuru Kanisa la Nyarusurya kutualika kwenye changizo kiasi kilichopatikana kitasaidia pia katika kununua vyombo kwa ajili ya kazi ya Mungu. Mbarikiwe wote na tuombeane katika mapambano ya kwenda Mbinguni.

Toka kwa Mkurugenzi Mtendaji AGAPE
Mkama D Lugina

No comments: