AGAPE SINGERS

Matangazo

FOMU MAALUMU YA UANACHAMA:

Uongozi wa AGS-MUSOMA unapenda kuwatangazia kwamba fomu za maombi ya uanachama zimetayarishwa na kukamilika. Tafadhali ingia ukrasa huu wa Matangazo ili uweze kusanikisha (download) na kujaza Fomu kisha wasilisha Nakala halisi (hard copy) kwa  Uongozi kwa kadri utakavyopata maelekezo kwenye fomu yenyewe.


Na 

Gaya Masatu Kabaka

MKURUGENZI WA MAWASILIANO.

Trh: 07/08/2013

3 comments:

Unknown said...

Baada ya kazi nzito ya changizo la Nyarusurya, kazi bado inaendelea ya kumtukuza Mungu

Unknown said...

Tufanye kazi ya Mungu kungali asubuhi usiku waje asipoweza mtu kufanya kazi yeyote

Unknown said...

Baada ya kazi nzito ya changizo la Nyarusurya, kazi bado inaendelea ya kumtukuza Mungu