AGAPE SINGERS

Friday 19 September 2014

Mapambano bado yanaendelea katika kutafuta Vifaa vya muziki tayari Bwana amefanya miujiza tuna speaker 1 bado 3 tunayo power mixer 1 bado amplifer na pia bado microphone tunaomba wadau mtutie nguvu ili tuweze kushinda

watu wa Mungu Mapambano bado yanaendelea katika kufanya kazi ya Bwana. kumbuka ni bora kumshukuru Mungu kwa wema wake aliotutendea kwa kutoa tulivyonavyo ili kazi yake isonge mbele. hivyo unakumbushwa kutobaki nyuma kwa kutoa chochote ulichonacho ili kazi hii iweze kukamilika.

1 comment:

Anonymous said...

Nimeona tayari mmeenea Mic.