AGAPE SINGERS

Tuesday 29 July 2014

Kikundi cha Agape katika Picha ya pamoja

2 comments:

Anonymous said...

mmependeza ajabu Agape, Mungu awatie nguvu muifanye kazi yake,japo vikwazo nivingi sana ktk safari ya mbinguni lkn nawatia moyo kukazana namkitia nia ileile ya kumtangaza kristo bila kufanyakinyume na mapenzi yake,hakika mtazidi kubarikiwa zaidi nazaid

Unknown said...

Poleni wana Agape kwa kuondokewa na mtumishi wa Mungu mpiganaji Gaya mi sijui kama nitaweza kukusahau ninajitaidi kwa kila khali nimeshindwa Bwana tupe uvumilivu.